TAHADHALI TOKA UMOJA WA MATAIFA "Imetafsiriwa"
Biashara ya viungo vya binadamu imeshamiri au inaongezeka sana Mashariki ya kati.
Viungo kama: Figo inauzwa takribani dola $262,000; sawa na shilingi milioni 940 za kitanzania.
Moyo unauzwa dola za Kimarekani $ 119,000; sawa na shilingi za Kitanzania milioni 430. Na Ini linauzwa dola za Kimarekani dola $157,000; sawa na Shilingi za Kitanzania shilingi milioni 562.
Kwa hiyo basi, muwe makini na makampuni au mawakala wanaojifanya, kuwatafutia kazi nje ya nchi au nafasi ya masomo(scholarship) ambapo mwisho wa siku, ukifika huko nje, unauawa, kisha kutolewa viungo vyako muhimu ambavyo vimetajwa hapo juu na kuuzwa.
Hivyo basi, ni vizuri watoto wetu na wajukuu zetu wajulishwe hali hii, ili wasiangamie kwa tamaa ya kutaka kupata kazi nje ya Nchi.
Tuma ujumbe huu, ili kuweka wazi uovu huu ambao shetani kwa kushirikiana na mawakala wake wanafanya ili kuangamiza maisha ya watu.
Ili kuokoa maisha ya watu(wahanga) tuma kwa mwingine pia ujumbe huu. Ubarikiwe!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni