Jumatatu, 28 Mei 2018

HAWA NDIO WANAWAKE

TUOMBE KWAAJILI YA WANAWAKE:

✏Atakuwa na simu yake mpo nyumbani na dakika hiyo hiyo anakwambia umbeep hajui kaiweka wapi.
✴Wahurumie Baba✴

✏Ana nguo zimejaa kabati mbili lakini hajui avae nini ukimwambia tutoke out.
✴Sema nao Baba✴

✏Anakasirika ukikosa kumtumia msg ya good night, lakin yeye asipotuma kwake sio kosa inabidi uwe mpole.
✴Tupe Ujasiri Baba✴

✏Ana viatu zaidi ya pea hamsini lakin haoni viatu vya kuvaa akitaka kwende ibadani.
✴Baba Wasamehe✴

✏Akianza kuvaa saa moja atamaliza saa tatu na muda wote huo inabidi umsubiri bila kumuharakisha.
✴Angalia yanatushinda Bwana✴

✏Mnaachana asubuhi akiwa na furaha na amani, lakin ukirudi jioni unakuta amenuna hata salamu hataki na ukiuliza tuu ni balaa.
✴Tusaidie Baba✴

✏Anajaribu kumechisha nguo na hereni na hazifanani, anabadili nguo sababu ya hereni.
✴Washike mikono Baba✴

✏Ana mafuta tofauti ya kujipaka mikono, miguu, nywele, uso, shingo na hata mdomo
✴Baba Waangalie Viumbe Wako✴

✏Akienda Saloon anakaa asubuhi mpaka jioni, Huna budi kumsubiri na usilalamike kwanini hivi.
✴Tupe Uvumilivu Baba✴

✏Utamuita dinner atakuja na marafiki zake, watakula vitu vya bei ghali na gharama zote utalipa wew uliemuita.
✴Baba Ingilia Kati sisi Hatuwezi✴

✏Mkitembea wawili inabidi wew ukae upande wa barabarani, et wew ni mwanaume hata ukigongwa haina shida.
✴Eeh Mungu tuepushe na hiki, ulisema hawa ni Wasaidizi wetu lakin tumekuja kuwa Wafanyakazi wao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni