Jumatatu, 28 Mei 2018

HAWA NDIO WANAWAKE

TUOMBE KWAAJILI YA WANAWAKE:

✏Atakuwa na simu yake mpo nyumbani na dakika hiyo hiyo anakwambia umbeep hajui kaiweka wapi.
✴Wahurumie Baba✴

✏Ana nguo zimejaa kabati mbili lakini hajui avae nini ukimwambia tutoke out.
✴Sema nao Baba✴

✏Anakasirika ukikosa kumtumia msg ya good night, lakin yeye asipotuma kwake sio kosa inabidi uwe mpole.
✴Tupe Ujasiri Baba✴

✏Ana viatu zaidi ya pea hamsini lakin haoni viatu vya kuvaa akitaka kwende ibadani.
✴Baba Wasamehe✴

✏Akianza kuvaa saa moja atamaliza saa tatu na muda wote huo inabidi umsubiri bila kumuharakisha.
✴Angalia yanatushinda Bwana✴

✏Mnaachana asubuhi akiwa na furaha na amani, lakin ukirudi jioni unakuta amenuna hata salamu hataki na ukiuliza tuu ni balaa.
✴Tusaidie Baba✴

✏Anajaribu kumechisha nguo na hereni na hazifanani, anabadili nguo sababu ya hereni.
✴Washike mikono Baba✴

✏Ana mafuta tofauti ya kujipaka mikono, miguu, nywele, uso, shingo na hata mdomo
✴Baba Waangalie Viumbe Wako✴

✏Akienda Saloon anakaa asubuhi mpaka jioni, Huna budi kumsubiri na usilalamike kwanini hivi.
✴Tupe Uvumilivu Baba✴

✏Utamuita dinner atakuja na marafiki zake, watakula vitu vya bei ghali na gharama zote utalipa wew uliemuita.
✴Baba Ingilia Kati sisi Hatuwezi✴

✏Mkitembea wawili inabidi wew ukae upande wa barabarani, et wew ni mwanaume hata ukigongwa haina shida.
✴Eeh Mungu tuepushe na hiki, ulisema hawa ni Wasaidizi wetu lakin tumekuja kuwa Wafanyakazi wao.

Jumamosi, 5 Mei 2018

CANAL GADAF

GADAF ALIKUWA NANI????

*Ngoja* *nikufahamishe* ;-
- *Gaddafi* ni mtoto wa 10 katika familia ya watoto 15,
- *Gaddafi* wazazi wake wote waliuliwa kwa vita,
- *Gaddafi* aliwahi kufukuzwa shule akiwa form 2,
- *Gaddafi* alikuwa mwanajeshi kabla ya kuwa rais,
- *Gaddafi* aliingia madarakani kwa kupindua nchi,
- *Gaddafi* ndie rai pekee duniani alieibadilisha Libya kutoka kuwa jangwa hadi kuwa green country kwa kuchimba mfereji kutoka bahari ya sham hadi katikati ya nchi na kuyabadilisha MAJI ya chumvi kuwa baridi,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa MAJI bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa umeme Bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliegawa ardhi bure kwa RAIA wake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa anawalipia mahali wanandoa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa anajengea nyumba watu bure,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliekuwa hatozi kodi kwa raia wake,
- *Gaddafi* rais pekee duniani aliekuwa analindwa na walinzi wakike pekee,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alipenda wananchi waendelee kwanza kuliko familia yake,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alieifanya nchi yake isiwe na deni popote duniani,
- Libya ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na mafuta mengi duniani,
- *Gaddafi* ndie rais aliekuwa anapendwa zaidi Africa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliemuunga mkono idd amin katika vita ya kagera,
- *Gaddafi* na ndie rais pekee duniani aliempiga marufuku rais marekani asikanyage Libya,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani alie semwa na marekani kuwa ameuawa kimakosa,
- *Gaddafi* ndie rais pekee duniani aliezikwa na watu wachache,
- Gaddafi ndie rais pekee pekee Africa aliejenga msikiti kila nchi,
- *Gaddafi* ndie rais pekee Africa aliekuwa na ndoto ya kuinganisha Africa.
*Huyo* *ndio* *Canal* *muammar* *Gaddafi* *simba* *wa* *Africa* .
*Neno* *moja* *kwake* ......